Ushauri Nasaha!!Karibu Daktari.. Wewe ni Daktari wa nini?
Hodi humu ndani! Naomba mnipokee Waungwana!!!!
Ahsante Mkuu BAK! Pamoja sana!Karibu sana Dr ujisikie nyumbani. Michango yako katika profession yako itawasaida wengi hapa jamvini. Karibu mpaka ndani 🙂
Ushauri Nasaha!!
Asante mama! It sounds nice hearing from you!Na vipimo karibu sana DR
Ya' most welcome! in-PM tu, It's ma pleasure!karibu doktori... mimi ninaumwa ngoja nikuPM
Wewe ni daktari wa nini........??Hodi humu ndani! Naomba mnipokee Waungwana!!!!
ICU ndo ugonjwa gani tena........???Karibu Dokta, Mimi pia ni specialist wa ICU, karibu tushirikiane Mkuu
Wewe ni daktari wa nini........??
una level gani ya elimu kwenye taaluma yako.........??
Ni kweli ndizi zinatibu ukimwi.........?? HOW/WHY.......??
Wewe ni mwanamke au mwanaume...........???
Mkuu, Ni Kikristu tu kimekaa vibaya, namaanisha mimi ni mtaalamu ndani ya chumba hichoICU ndo ugonjwa gani tena........???
Ushauri Nasaha!!