Hellow! JF Members

Hellow! JF Members

Hodi humu ndani! Naomba mnipokee Waungwana!!!!

Karibu sana Dr ujisikie nyumbani. Michango yako katika profession yako itawasaida wengi hapa jamvini. Karibu mpaka ndani 🙂
 
Karibu sana Dr. nadhani tutanufaika sana na huo ushauri nasaha
 
karibu doktori... mimi ninaumwa ngoja nikuPM
 
Hodi humu ndani! Naomba mnipokee Waungwana!!!!
Wewe ni daktari wa nini........??
una level gani ya elimu kwenye taaluma yako.........??
Ni kweli ndizi zinatibu ukimwi.........?? HOW/WHY.......??
Wewe ni mwanamke au mwanaume...........???
 
....karibu mtaalam ila pitia kale kajukwaa ketu ka JF Doctor please....utatufaa sana kule mzee.....!
 
Karibu Dokta, Mimi pia ni specialist wa ICU, karibu tushirikiane Mkuu
 
Wewe ni daktari wa nini........??
una level gani ya elimu kwenye taaluma yako.........??
Ni kweli ndizi zinatibu ukimwi.........?? HOW/WHY.......??
Wewe ni mwanamke au mwanaume...........???

hiyo daktari wake ni Bigirita
 
Ushauri Nasaha!!

Haya Dr naona tukuite Dr Beat jina hili litakupendeza sana hahahahahahah

Have a great weekend 🙂

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=nJeLGA4UTl4&feature=related"]YouTube- MIAMI SOUND MACHINE - DR.BEAT (LONG VERSION)[/ame]

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=ZeHQA-9aaD4&feature=related"]YouTube- miami sound machine - dr beat[/ame]
 
Back
Top Bottom