wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Amennn mtumishi lakini fanya kampango ka picha ili tuibandike kweli bord huu ndo utaratibu wa humu ndaniMambo wadau mimi mgeni nataka kadarasa kadogo dogo kujua kutumia jf au mtu anitag kwenye Uzi wa Kujifunza kutumia JF nawaslimu kwa jina la Alie Juu.