mimi nimebahatika kupata Tsh millioni 5 na nimeplan kufanya biashara ya uwakala wa kutuma na kupokea pesa kwa njia ya mitandao ya simu tigo pesa,m.pesa, na airtel money,je ni changamoto zipi ambazo nitaweza kukutana nazo na njia zipi nitumie ili kuzikabili changamoto hizo?