ndugu zanguni hivi hili suala la malawi tunalichukuliaje maana me naona kama litakuja leta balaa maana mama kama amekuwa mgumu kulializi hivi hebu ndugu zanguni tulitupie hili suala hekima nyingi na busara zakutosha kwa hili la majirani zetu?????????????????????????????????????????? Ni hayo g9nt ma people.
Hilo suala lipo linashughulikiwa na vyombo husika.ndugu zanguni hivi hili suala la malawi tunalichukuliaje maana me naona kama litakuja leta balaa maana mama kama amekuwa mgumu kulializi hivi hebu ndugu zanguni tulitupie hili suala hekima nyingi na busara zakutosha kwa hili la majirani zetu?????????????????????????????????????????? Ni hayo g9nt ma people.