Hellow People iam new member my name is msabi jr.

MSAJR

New Member
Joined
Aug 28, 2012
Posts
1
Reaction score
0
ndugu zanguni hivi hili suala la malawi tunalichukuliaje maana me naona kama litakuja leta balaa maana mama kama amekuwa mgumu kulializi hivi hebu ndugu zanguni tulitupie hili suala hekima nyingi na busara zakutosha kwa hili la majirani zetu?????????????????????????????????????????? Ni hayo g9nt ma people.
 
Hili waachie wanasiasa.
 
Hilo suala lipo linashughulikiwa na vyombo husika.
Karibu sana jamvini.
 
Back
Top Bottom