Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
:behindsofa: mm ni mgeni ,sijui nilipoingia ni penyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:behindsofa: mm ni mgeni ,sijui nilipoingia ni penyewe.
Ndio penyewe haswaaaa wala haujakosea. Karibu sana JF.
Kamata hii hapa;Usijifiche nyuma ya sofa, unatumia kinywaji gani mkuu?
aksante mkuu.karibu sana
:couch2:.... naomba juice ya limao.Usijifiche nyuma ya sofa, unatumia kinywaji gani mkuu?
naomba kahawa ,hiyo ya wakubwa bana....Kamata hii hapa;
![]()
:ranger:igweeeeee! ndo penyewe haswaa ,kaa kwenye kochi na computer uanze kubofya hizo keyboards kuchangia jamvini.
😛oa:A S-heart-2::ranger:
Kitu mbege...........Kamata hii hapa;
![]()
Karibu:behindsofa: mm ni mgeni ,sijui nilipoingia ni penyewe.
Kwani we mdogonaomba kahawa ,hiyo ya wakubwa bana....