Hellow wanamitindo

selina mrembo

Member
Joined
May 18, 2020
Posts
54
Reaction score
68
Mimi ni mzuri wa sura tu jamani japo sio sana nataka niiweke sawa zaidi means ing ae mimi ni maji ya kunde sio mweupe sio mweusi lotion gani nitumie nipendeze zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubaya wa clinic clear tena ni ukatili inaweza kukuchubua tu sura alafu mwili ikakugomea.

Ukitaka ikutendee mema uwe unaipaka usiku tu! Na jua lisiwe rafiki yako baada ya kupata rangi unayoitaka achana nayo unakuwa soft na mzuuuuuri sanaaaa alafu usitumie sabuni za kemikali maana zitafanya kutibu ngozi hivyo utaharibika
 
E! Kumbe inachubua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila picha ni ngumu kukupa ushauri dada

yess BishOoo haSwaaaaaaaH[emoji111]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…