Karibu mkuu ila umefanya kosa sana kujitambulisha bila picha yako sijyi kama utapata ushirikiano wa kukaribishwa ila kama unata ukaribisho hadi ufurahie j.f weka picha uone watu wahumu walivho wakarimu na unyenyekevu kwa wageni[emoji86] [emoji86]jina langu ni aleesha, naishi znz ni member mpya naomba ushirikiano wenu
Karibu sana Aleesha.jina langu ni aleesha, naishi znz ni member mpya naomba ushirikiano wenu
nimechukua mda mrefu kuingia jf bila kua member, members karibia wte hawaeki pic, na mm ni mwanasiasa so itakuaje siku nitakayotoa hoja nikashuhulikiwaKaribu mkuu ila umefanya kosa sana kujitambulisha bila picha yako sijyi kama utapata ushirikiano wa kukaribishwa ila kama unata ukaribisho hadi ufurahie j.f weka picha uone watu wahumu walivho wakarimu na unyenyekevu kwa wageni[emoji86] [emoji86]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Karibu mkuu ila umefanya kosa sana kujitambulisha bila picha yako sijyi kama utapata ushirikiano wa kukaribishwa ila kama unata ukaribisho hadi ufurahie j.f weka picha uone watu wahumu walivho wakarimu na unyenyekevu kwa wageni[emoji86] [emoji86]
asigwa mbona umepotea hivi jamaniiii, yaani kidogo nianzishe uzi hapa JF wa kukutafuta kama Mshana jr anavyotafutwa akipotea!Karibu sana Aleesha.
Jisikie uko nyumbani kabisa
Nikishakukaribisha mimi humu JamiiForums huna haja ya kukaribishwa na yeyote.
Karibu sana
toboaaaaaaaaaaaaaaSio mgeni huyu msijisumbue kabisa ,namjua akibisha aseme nimtaje