hellow

hellow

jina langu ni aleesha, naishi znz ni member mpya naomba ushirikiano wenu
Karibu mkuu ila umefanya kosa sana kujitambulisha bila picha yako sijyi kama utapata ushirikiano wa kukaribishwa ila kama unata ukaribisho hadi ufurahie j.f weka picha uone watu wahumu walivho wakarimu na unyenyekevu kwa wageni[emoji86] [emoji86]
 
nimechukua mda mrefu kuingia jf bila kua member, members karibia wte hawaeki pic, na mm ni mwanasiasa so itakuaje siku nitakayotoa hoja nikashuhulikiwa
 
Karibu mkuu ila umefanya kosa sana kujitambulisha bila picha yako sijyi kama utapata ushirikiano wa kukaribishwa ila kama unata ukaribisho hadi ufurahie j.f weka picha uone watu wahumu walivho wakarimu na unyenyekevu kwa wageni[emoji86] [emoji86]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Karibu sana Aleesha.

Jisikie uko nyumbani kabisa
Nikishakukaribisha mimi humu JamiiForums huna haja ya kukaribishwa na yeyote.

Karibu sana
asigwa mbona umepotea hivi jamaniiii, yaani kidogo nianzishe uzi hapa JF wa kukutafuta kama Mshana jr anavyotafutwa akipotea!
 
Back
Top Bottom