Polycarp Of Iringa
Member
- Mar 20, 2018
- 12
- 14
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kijana ili uunganishwe huko, yakupasa kuwa na picha zako 3 tofauti..
Karibu.
Hapana kaka sipo katika ujenzi huo wa Interchange,naona umetoa wasifu wako murua,kwa hiyo sa hivi nyie ndio mnaotengeneza zile flyover za dsm
Ahsante,Kijana ili uunganishwe huko, yakupasa kuwa na picha zako 3 tofauti..
Karibu.
KivipiMkuu mbona unaleta mambo ya istar na fb huku
Mkuu hii barabara inaisha lini.? Na mpaka sasa imekamilika kwa asilimia ngapi.?Hapana kaka sipo katika ujenzi huo wa Interchange,
Kwa sasa kampuni niliyopo inajenga Barabara ya Mafinga (Iringa) - Igawa (Mbeya) km 250 hivi,
Barabara imegawanywa kwa makundi mawili,Mkuu hii barabara inaisha lini.? Na mpaka sasa imekamilika kwa asilimia ngapi.?
Hmm.. Hongereni sana. Kazi nzuriBarabara imegawanywa kwa makundi mawili,
Kuna group 1 linaanzia Mafinga to Nyigo,
Na group 2 linaanzia Nyigo to Igawa,
Mimi nipo Mafinga group1
Na mpaka sasa tumefikisha zaidi ya asilimia 80 kwa ujenzi wa barabara yenyewe tukiachana na Drainage structure ambazo ni Mitaro,
Maeneo mengi yaliyobaki kukengwa ni yale maeneo chepechepe (swamps) ambayo yanahitaji heavy structure kama Filter layer (Embankment) haya ndio maeneo yanayosumbua sana, nadhani hata watu wakipita wanaona ni jinsi gani mawe makubwa (Cobblestone) yanapangwa.
za fb dogo hizo...soksi umesahau.Jina langu halisi ni POLYCARP MDEMU, natokea mkoa wa Iringa, nimtaalamu wa mambo ya Highway na ndio Taaluma yangu(Highway .View attachment 721197
Kumbe we ndo uliemdanganya mpaka akapost zile picha hahahaha we mbaya weweKijana ili uunganishwe huko, yakupasa kuwa na picha zako 3 tofauti..
Karibu.
[emoji2] [emoji2] , naona dogo kachakarika kweli kuzitafuta, 1 ya kukaa, 2 akionesha getho lake na 3 baada ya kuchana nywele.Kumbe we ndo uliemdanganya mpaka akapost zile picha hahahaha we mbaya wewe
Umeambiwa ongeza picha 2, utaunganishwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kijana ili uunganishwe huko, yakupasa kuwa na picha zako 3 tofauti..
Karibu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe we ndo uliemdanganya mpaka akapost zile picha hahahaha we mbaya wewe