Hellow

Hellow

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huyo ni wewe kwanza umecrop sura pili kuhusu nini kinaonyesha uben10 umevaa kata k cha pili umeedit edit picha hivyo haya muhenga gani anaweza fanya hizo mambo
Sura imecropiwa kwasababu za ki-intelligencia.....

Kata K haikua dhumuni ila pozi tu lilichangia iwe hivyo pili sina uhenga huo mpaka kushindwa kuedit picha jmn japo sio ben10.. [emoji1] Shunie bhn hauishi vituko
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kakubali ndio yake hiyo sasa mm si nitambemenda me nina 45 halaf atakuwa ananiibia sana hela zangu jamani mana viben10 zao kulelewa
Hahahahahahahahaaaaa.

Hawezi kukuibia bana, huyo ni mtiifu na huwezi kupata shida sana kumbemenda
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kakubali ndio yake hiyo sasa mm si nitambemenda me nina 45 halaf atakuwa ananiibia sana hela zangu jamani mana viben10 zao kulelewa
[emoji16][emoji16] yaani wewe kila siku na vikwazo vipya hakuna siku hili penzi umeliacha likapumzika yani unaliyumbusha yumbisha tuuuu...
 
Back
Top Bottom