Hellow

Mkuu hii barabara inaisha lini.? Na mpaka sasa imekamilika kwa asilimia ngapi.?
Barabara imegawanywa kwa makundi mawili,

Kuna group 1 linaanzia Mafinga to Nyigo,
Na group 2 linaanzia Nyigo to Igawa,

Mimi nipo Mafinga group1
Na mpaka sasa tumefikisha zaidi ya asilimia 80 kwa ujenzi wa barabara yenyewe tukiachana na Drainage structure ambazo ni Mitaro,

Maeneo mengi yaliyobaki kukengwa ni yale maeneo chepechepe (swamps) ambayo yanahitaji heavy structure kama Filter layer (Embankment) haya ndio maeneo yanayosumbua sana, nadhani hata watu wakipita wanaona ni jinsi gani mawe makubwa (Cobblestone) yanapangwa.
 
Hmm.. Hongereni sana. Kazi nzuri
 
Kumbe we ndo uliemdanganya mpaka akapost zile picha hahahaha we mbaya wewe
[emoji2] [emoji2] , naona dogo kachakarika kweli kuzitafuta, 1 ya kukaa, 2 akionesha getho lake na 3 baada ya kuchana nywele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…