Hellow

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mawazo yangu yalikuwa sawa kabisa hakuna tofauti davet kiben10
Hahah! ningekutumia voicenote ya kicheko sema tu hiyo option haipo humu.... [emoji23][emoji23][emoji16]

a. Kwani nimekuambia kua huyo ndio mimi?
b. Kama ningekua ni mimi kitu gani kinadhibitisha huo uben10 hapo?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huyo ni wewe kwanza umecrop sura pili kuhusu nini kinaonyesha uben10 umevaa kata k cha pili umeedit edit picha hivyo haya muhenga gani anaweza fanya hizo mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…