Hellow

Kwani Mwifwa umetoa maelekezo ya namna hii tena?

Asante kwa picha endelea kujumuika nasi maana tayari wewe ni mwenyeji.
 
Unataka kukaribishwa au kutangaza marital status? ?
 
....................Inakera sasa,mods mmelala ama vipi?kipindi najiunga humu early 2013 haikuwa rahisi kujiunga hovyo ila sasa mmerahisisha mno vigezo vya kujoin humu that's why ujinga huu umezidi.

Siku hizi hata mwendawazimu ana-post JF,hapo nyuma kwa siye wavivu wa kuandika hatukuthubutu kutuma post humu kama hatuna cha maana cha kuandika ila siku hizi imekuwa rahisi kila mtu anajiandikia na kutuma anachotaka.
 
Huyu anaonekana ni member since 2016 ss sielewi ni nin kimpata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…