Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Tumeruhusiwa mpaka wanne, akija mwenzako bi mdogo mkaribishe kwa mahaba bi mkubwa.Astaghafirullah!!
Mimi huyooo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeruhusiwa mpaka wanne, akija mwenzako bi mdogo mkaribishe kwa mahaba bi mkubwa.Astaghafirullah!!
Mimi huyooo!
Nyie bila kudanganya na kupewa maneno matamu unazani mtaachia hiyo kituIla wanaume bwana! Waone wanavyojichekesha kechekesha kama fisi kaona kitoweo,
Na huyo mgeni mbona katoweka mshamteka huko pm eeeh
Naam, nafahamu kabisa Bi mkubwa anapaswa kua mwenyeji wa Bi mdogo ndio maana nikaulizia mshamteka huyo bibiee maana jamvini haonekani atii.Tumeruhusiwa mpaka wanne, akija mwenzako bi mdogo mkaribishe kwa mahaba bi mkubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2960][emoji23][emoji23]Nyie bila kudanganya na kupewa maneno matamu unazani mtaachia hiyo kitu
HahhahahahAiseee karibu huku wengi wetu ni watu wasiojulikana
Sent from my iPhone using JamiiForums
IhooooMi naitwa Zero IQ, Namiliki kiwanda cha uchakataji, kuchakata viazi kuwa chipsi,
Karibu PM kwa maongezi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo washamteka, wewe njoo huku tuyajenge tu.Naam, nafahamu kabisa Bi mkubwa anapaswa kua mwenyeji wa Bi mdogo ndio maana nikaulizia mshamteka huyo bibiee maana jamvini haonekani atii.
[emoji1787][emoji1787]Mi naitwa Zero IQ, Namiliki kiwanda cha uchakataji, kuchakata viazi kuwa chipsi,
Karibu PM kwa maongezi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app