chenjichenji
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,773
- 3,529
Habari wandugu wapendwa.Baada ya takribani miaka mitatu ya kuingia JF kama mgeni leo nimeamua nami nijimwaemwae pamoja nanyi.Tafadhali nikaribisheni wanajamvi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana jamvini
Weni ME au KE?
Karibu sana JF mkuu.
Karibu sana chenjichenji jamvini.Habari wandugu wapendwa.Baada ya takribani miaka mitatu ya kuingia JF kama mgeni leo nimeamua nami nijimwaemwae pamoja nanyi.Tafadhali nikaribisheni wanajamvi.
Karibu sana chenjichenji jamvini.[/QUOTE
Nashukuru sana mkuu 'Katavi'...ubarikiwe.
Hellow
Hellow you are welcome.Hellow