Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Wakuu,
Nilikuwa napitia habari mitandaoni nikakutana na hii ambayo inasema Helmet moja ya F-35 fighter Jet inauzwa dollar laki nne($400,000).
Baadhi ya mambo teknolojia iliyonayo:
[emoji818]Camera 6 zinazomwezesha pilot kuona katika nyuzi 360
[emoji818]Uwezo kuona mchana na usiku bila shida
[emoji818]Uwezo wa kuona chini ya ndege(see through) kama x ray vile
[emoji818]uwezo wa kizuia kelele za nje kama engine nk
[emoji818]Uwezo mkubwa na usahihi wa kupiga target bila kuangalia dashboard ya ndege
[emoji818]Haiingizi risasi,inampa taarifa pilot kama temperature,altitude nk
[emoji818]wepesi wa kumfyatua pilot kwa speed ya upepo
[emoji818]Kila helmet inatengenezwa na ajili ya pilot mmoja tu kutokana na vipimo vya ukubwa wa kichwa,macho(pupil),masikio,spinal code nk
Kuwa na jeshi la kisasa ni gharama sana
Je Tanzania tunazo hizi F-35 fighter jets?