helo

helo

Sio lazima kila mtu awe baba mwenye gari, hata ukiwa baba mwenye bodaboda inatosha
 
nauliza kama kuna starlet ya milion 2 naweza pata
Haa kama ndoto zako ni Gari jitahidi ujichangishe atleast mill4.5 iyo ulionayo utapata gari la mtu ambalo ni crepa litakuumiza mnnoo
 
nauliza kama kuna starlet ya milion 2 naweza pata
Unapata. Lakini running and service cost itakua kubwa sana. Tafuta 3.5 hadi 4M hautajuta.

Utapata Starlet, Vitz, Passo.
 
Back
Top Bottom