lady black
Member
- Jul 13, 2013
- 10
- 2
me ni member mpya naomben mnipokee vizuri nawapenda sana marafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
me ni member mpya naomben mnipokee vizuri nawapenda sana marafiki
Karibu lady black jamvini, naitwa Katavi ndio mpokea mizigo ya wageni,,,,,,,,,wakati unasubiri kinywaji nenda kule Chit Chat ukachangamshwe na akina Mamndenyi.me ni member mpya naomben mnipokee vizuri nawapenda sana marafiki
Karibu lady black jamvini, naitwa Katavi ndio mpokea mizigo ya wageni,,,,,,,,,wakati unasubiri kinywaji nenda kule Chit Chat ukachangamshwe na akina Mamndenyi.
Upo sheikh wangu Katavi?
Nipo kijana wangu kama kawaida.
Mola akujalie siha njema mjukuu wa Mzindakaya.