Njoo uwekeze kwenye kilimo morogoro kitakulipa maradufu utapata faida kuliko hata hizo unazofikiria. Mazao yako ndani ya miezi mitatu unavuna unapata faida sio uweke benki mil 30 kwa mwaka upate mil 4 faida
Mimi nina elimu ya financial planning na kwa ushauri wangu weka 2/3 ya pesa zako UTT,1/3 ya pesa zako weka fixed deposit,tafuta benki zenye rate kubwa kuliko zote,usiweke pesa zako zote sehemu moja hata kama kuna return kubwa kiasi gani