talentboy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 2,104
- 2,073
mkuu mazao ya sina gani hasa unayomaanisha hapa?Njoo uwekeze kwenye kilimo morogoro kitakulipa maradufu utapata faida kuliko hata hizo unazofikiria. Mazao yako ndani ya miezi mitatu unavuna unapata faida sio uweke benki mil 30 kwa mwaka upate mil 4 faida