Help...! Help...! Help! Msaada..! Msaada..! Doctors saidia.

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
3,097
Reaction score
1,356
Habarini zenu!

Jamani niwaombe msaada wa tiba ya tosess zimembana mke wangu hawezi kula wala kunywa kitu ni shida sana! Pls naomba kujua chanzo cha ugonjwa huu! Pia mwenye kujua tiba ya kudumu maana zimekuwa zinaibuka na kupotea kwa muda mrefu sana! MziziMkavu mchango wako ni mhimu sana hapa!

Mbarikiwe wasalaam...!
 
Last edited by a moderator:
Mara nyingi huwa zinauhusiano na vitamin C

Mtafutie vidonge vya multivitamins pia apige juisi ya ubuyu na machungwa kwa wingi. kama anatumiakilevi chochote aache pia kama anatumia vinywaji au vyakula vyenye machemikali pia apumzike.

Endelea kusubiri MziziMkavu atakuja pia
 

Asante mkuu kwa mchango wako ubarikiwe sana!
 






Tonsils Pia husababishwa na upungufu wa white blood cells katika mwili ambazo cells hizi ndio hupigana na vidudu vyote vyenye kuleta maradhi ndani ya mwili sasa vinaposhindwa kufanya kazi lymph zinavimba na husababisha Tonsils.

Kila mtu na ukuwaji wake wa mwili, wapo ambao wanapata tonsils kwa kunywa maji ya baridi ambayo maji ya baridi huwa ni moja katika chanzo cha kupata tonsils, mavumbi huchangia vile vile pilipili na vitu vikali kama vile embe mbichi limau pia huwa ni sababu kuu ya kupata tonsil.Wakati unapokuwa na tonsils muhimu zaidi kuacha maji ya baridi na vitu vyote vikali.

Dawa ya TONSILS ni kusukutuwa maji yaliyokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku

mpaka yafike kooni.


Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa

mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa

unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia.


Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako.

Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya kazi na mdomo uko wazi basi pia unaweza kuumwa na Tonsils.

Vile vile kutoka nje kwenye joto kisha ukaingia pahala baridi huwa inasababisha Tonsils na maradhi mengine kama flu na kuumwa na kichwa. Ukitaka Dawa ya kukomesha kabisa Maradhi ya Tonsils nitafute mimi kwa kubonyeza hapa.
Mawasiliano
 

Mkuu MziziMkavu nakushuru sana kwa nondo ya nguvu uliyoshusha hapa hakika naamini itanisaidia na zaidi itasaidia jamii ya wanajamvi wenye matatizo kamq haya! Nitakutafu kwny whatsaap kuhusu nione upatikanaji wa hiyo dawa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…