Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada Vivian kusuka au kunyoa kivipi?,una maana anaweza amua kukubali kukuoa baada ya wewe kumwambia unataka kuolewa?
Hey guyz! I've got A boyfriend who really cares for me monetary wise!! The opposite side of the coin is that we have no marriage plans!. The way I look at him I dont see my future with him. Nataka kumuacha lakini nashindwa jamani. Alishawahi kunitamkia wazi, Babu yao aliacha laana kwao mtu yeyote aioe mchagga and he wont go against that! At the age of 24 I really need a serious relationship!! am sorry my Pal if you are reading this! Am not growing any younger!!!
Please members just advise on how am I going to tell him to go on his own!! This guy has been paying my rent, DSTV bills, Fueling my Car frequently, Lots me kwakweli. But I just need to say enough now.
Jamani nashindwa nimuanzeje?
In the first place i really doubt kama vivian kweli ni 24yrs, if yes basi amemaliza shule/college/uni mapema sana.
Ila mdogo wetu hizo tabia unazozionyesha ni za kichangu kabisa tena aliyekubuhu, just look at your self in the mirror and listen to ur heartbeats na ujiambie wazi wewe ni nyumba ndogo, nothing more nothing less. Unazuga zuga watu ooh he pays so and so, dont u even have a spark of shame mtoto wa kike, Na nyumbani kwenu unawaambia nini?
kwa watu wa character yako huwezi olewa mama YES am saying it ushazoea vya kunyonga vya kuchinjwa huwezi, wewe ni mlemavu ufanyiwe kila kitu?
No sensible man in this earth dunia ya leo akuoe mtu kaka wewe unayedenda kutumia na kutafuta hutaki unabaki kulalama ooh i need someone serious? mlipokuwa mnaanza relationship alikuwa hajui kabila lako? what a childish exscuse.
Pole maana ure in for it, hata akikuacha wewe utakuwa mtu wa mabuzi. U can fool pple here but ur character displays itself.
ITS never too late to change , only if ure ready to embrace the realities of life.
Umiongea,........... Uminena........umithema....... VIVIAN YOU NEED TO CHANGE. AT YOUR AGE...... UFANYIWE KILA KITU.........??? WENZIO TUNAOGOPA KUWA MALAIKA....... WEWE UNATAMANI KUWA MALAIKA...???In the first place i really doubt kama vivian kweli ni 24yrs, if yes basi amemaliza shule/college/uni mapema sana.