"Help! I'm Trapped In a Relationship I Don't Want to Be In!"

Jamani vivi vipi? u are too material. mwambie tu kwamba u need someone wa maisha, maana yeye si keshakutamkia kuwa he cant marry you. so wahat are afraiding of?
 
Dada Vivian kusuka au kunyoa kivipi?,una maana anaweza amua kukubali kukuoa baada ya wewe kumwambia unataka kuolewa?


na arudi tena hapa jamvini kutupa matokeo sio anakula kona kimya kimya,waoaji tupo mwaya!!!!!
 


Katika maneno yako yoote hujataja hata mahali pamoja kuwa unampenda. Sasa, kwanini unataka akuoe? Labda na yeye analijua hilo manake mambo ya babu na bibi wala hayana msingi wowote hapo. Eti babu kasema nini sijui, aah wapi bwana, hakupendi, humpendi, anza!!
 
Vivian, you wrote that you want a steady relationship which (hopefully) will lead to marriage, but it's obvious that you won't have that with that guy.

Solution:
Get out of that relationship (unless you yourself have another problem in that you want to continue milking him dry).

There's no marriage prospect with that guy, so why are you still clinging on to him? Material things? DSTV charges? Car fuel?

Time to be free baby...
 
In the first place i really doubt kama vivian kweli ni 24yrs, if yes basi amemaliza shule/college/uni mapema sana.
Ila mdogo wetu hizo tabia unazozionyesha ni za kichangu kabisa tena aliyekubuhu, just look at your self in the mirror and listen to ur heartbeats na ujiambie wazi wewe ni nyumba ndogo, nothing more nothing less. Unazuga zuga watu ooh he pays so and so, dont u even have a spark of shame mtoto wa kike, Na nyumbani kwenu unawaambia nini?

kwa watu wa character yako huwezi olewa mama YES am saying it ushazoea vya kunyonga vya kuchinjwa huwezi, wewe ni mlemavu ufanyiwe kila kitu?
No sensible man in this earth dunia ya leo akuoe mtu kaka wewe unayedenda kutumia na kutafuta hutaki unabaki kulalama ooh i need someone serious? mlipokuwa mnaanza relationship alikuwa hajui kabila lako? what a childish exscuse.

Pole maana ure in for it, hata akikuacha wewe utakuwa mtu wa mabuzi. U can fool pple here but ur character displays itself.
ITS never too late to change , only if ure ready to embrace the realities of life.
 

Bravoo kinyau.

Ukue mtoto wa kike.
 
Umiongea,........... Uminena........umithema....... VIVIAN YOU NEED TO CHANGE. AT YOUR AGE...... UFANYIWE KILA KITU.........??? WENZIO TUNAOGOPA KUWA MALAIKA....... WEWE UNATAMANI KUWA MALAIKA...???
 
Tatizo hapo sio utamuanzaje au ushauri ufanye nini!! Uamuzi tayari unao na la kumwambia tayari unalo ila tatizo ni upo tayari katika hayo maamuzi!! Hilo ndo la muhimu sababu unaweza kumwambia leo its over na kesho ukimiss malaxary unarudi kuomba msamaha muendelee sababu ulipitiwa!!!! ARE U READY TO STAND FOR YOUR DESICION MAMA!! Kama ndio go through it!! Muweke peupee!!!!!
 
Please sister!Look your future madam,men who are chagga we are present you can consult us please to marry you.
 
Nimejaribu kutafakari maelezo yako na maoni yangu ni kuwa hata wewe huna mapenzi naye ila kama walivyo warembo wengi hivi sasa ni kwamba umekuwa mtumwa wa uwezo wake na hata kama isingikuwa usia wa baba yake na mngeoana kusingekuwa na mapenzi ya dhati kwani kwenu nyie uwezo wa mwanamume ni kigezo kikubwa na hamtaki kuanza naye na mkafikia mafanikio mkiwa pamoja POLE SANA
 
Dada unayo fursa kwamba umeweza kumjua mwenzako kabla kula kiapo kanisani, hivyo ruksa unayo (ruksa please), mbona wachelewa. Ngoja ngoja si nzuri; alafu hukutueleza kuwa wewe unajishughulisha na nini kwani kila kitu unalipiwa na mangi, we mshahara au profit ya biashara yako inakwenda wapi? Weka mambo sawa waru wakuchangie ki kwelikweli; tueleze kama unajishughulisha na .i.e. biashara ya Duka, biashara ya hoteli, proffessional job, contract etc Ndo maana baadhi wanakuweka kwenye group mbaya ambalo sidhani - hawaelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…