haya bwana!Thanks Nguli. Ukweli pesa sio care!! But Nguli ukweli upo pale pale, Am already a spoilt Child. just look at this break down
DSTV..... 101,000
RENT......250,000
FUEL......150,000
Hizo ndo Gharama za kuonekana, Tukiachana inabidi nibadili nyumba, atleast nipate ya 120,000/month. and no Dstv.
But I have to do it brother.
Mh bibie kweli upo ki commercial zaidi!! salalee Jamaa ukimwacha gafla lazima presha ipande garama zote izo na sijui ni kwa muda gani kahudumia!Thanks Nguli. Ukweli pesa sio care!! But Nguli ukweli upo pale pale, Am already a spoilt Child. just look at this break down
DSTV..... 101,000
RENT......250,000
FUEL......150,000
Hizo ndo Gharama za kuonekana, Tukiachana inabidi nibadili nyumba, atleast nipate ya 120,000/month. and no Dstv.
But I have to do it brother.
no no no no!!!! I say no to you Fidel. Ukianza kula nyama ya mtu huwezi kuacha!! never Fidel no! Hapana. hapana. please fidel no!!
Hey guyz! I've got A boyfriend who really cares for me monetary wise!! The opposite side of the coin is that we have no marriage plans!. The way I look at him I dont see my future with him. Nataka kumuacha lakini nashindwa jamani. Alishawahi kunitamkia wazi, Babu yao aliacha laana kwao mtu yeyote aioe mchagga and he wont go against that! At the age of 24 I really need a serious relationship!! am sorry my Pal if you are reading this! Am not growing any younger!!!
Please members just advise on how am I going to tell him to go on his own!! This guy has been paying my rent, DSTV bills, Fueling my Car frequently, Lots me kwakweli. But I just need to say enough now.
Jamani nashindwa nimuanzeje?
Geoff! Thanks alot man. But umri unanitupa mkono!!
no no no no!!!! I say no to you Fidel. Ukianza kula nyama ya mtu huwezi kuacha!! never Fidel no! Hapana. hapana. please fidel no!!
Atakuja tu!! Am still you. at 24 I Think I have to make myself unoccupied to create room for one to come thats all!
1. Kwenye red mtu akiku care kifedha tu unaiita care??
2. Hakuna kitu kama laana mbona wazazi wetu hawakutuachia laana tuwe matajiri???
3. Vivian my dear sister unaonekana wewe u love for mercy...it is dangerous.
4. Huyo mchumba ako yeye ni kabila gani?? mbona kwao wanaonekana ni wakabila??
Atakuja tu!! Am still you. at 24 I Think I have to make myself unoccupied to create room for one to come thats all!
Ooh! how such a very nice comment Sir. Nimeuweka kwenye diary yangu ya 2010halafu vivian,
achana na vionjo ambavyo ni too MATERIAL KWENYE RELATIONS!
mapenzi ni zaidi ya kile kinachofikiriwa au kujadiliwa!
mali,hela diesitivii na nini huwa vinapendeza sana kama UTASHIRIKI KATIKA KUVITAFUTA UKIWA KWENYE NDOA YAKO
Kwa ufupi huyo jamaa ana guts na anakutumia, coz anajua akitanguliza vijisenti na wewe kwa kuwa uko brainwashed ukidhani pesa ni care, ataendelea kukutumia siku zote, na hata akioa wewe utaendelea kuwa mistress wake. so akili kichwani binti, amua.
dada Vivian Umri gani huu unauzungumzia??? you are soo young....u know what? am 10 yrs older than u (seriously) and planning my pre nups..... LOL
Kama hana mpango wa baadaye nawe u can plan on moving on lakini UMRI usiwe sababu ! Ama una hofu Dstv itakwatwa???? come on gal! when I was your age...we acha tu hata kuolewa hakukuwahi kunipitia hata ndotoni, am serious!

hehehehe!ulikumbuka kugonga SENKSKI?Ooh! how such a very nice comment Sir. Nimeuweka kwenye diary yangu ya 2010
Please members just advise on how am I going to tell him to go on his own!! This guy has been paying my rent, DSTV bills, Fueling my Car frequently, Lots me kwakweli. But I just need to say enough now.
Jamani nashindwa nimuanzeje?
Makaka wachaga utawajua tu.🙄1. Hiyo red hiyo: Agrrrrrrrh! Huyo jamaa yako shule yake ikoje? Kichwa chake kiko sawa? Mpaka leo bado anaendekeza mambo ya kizamani? Eti hawezi kwenda against babu yake. Babu yake angemwambia lazima aliwe tigo ingekuwaje? Kalaghabaho!
2.Hiyo blue; You are still young! Naona umri bado unakusumbua, subiri ukue zaidi kama hutajali.
3. Hiyo bold nyeusi: Naona bado unamhitaji sana huyu bwana. Sasa fanya hivi, tafuta kiwanja Bunju, mkonvisi akujengee bangaluu. Likimalizika mwambie its better to obey our ancestors! Babu lazima aheshimiwe, siyo! Kila mtu anachukua hamsini zake, by then utakuwa na miaka 26/27! Na kina Fidel watakuwa wameshafikia targets zao za kuoa pia. You never knoo!
Otherwise? Hahahaha! LOL!
1. Hiyo red hiyo: Agrrrrrrrh! Huyo jamaa yako shule yake ikoje? Kichwa chake kiko sawa? Mpaka leo bado anaendekeza mambo ya kizamani? Eti hawezi kwenda against babu yake. Babu yake angemwambia lazima aliwe tigo ingekuwaje? Kalaghabaho!
Eh Xspin weeeee! Hiyo underlined ndio nini??
2.Hiyo blue; You are still young! Naona umri bado unakusumbua, subiri ukue zaidi kama hutajali.
Kula SENKSI my mkwe!!!
3. Hiyo bold nyeusi: Naona bado unamhitaji sana huyu bwana. Sasa fanya hivi, tafuta kiwanja Bunju, mkonvisi akujengee bangaluu. Likimalizika mwambie its better to obey our ancestors! Babu lazima aheshimiwe, siyo! Kila mtu anachukua hamsini zake, by then utakuwa na miaka 26/27! Na kina Fidel watakuwa wameshafikia targets zao za kuoa pia. You never knoo!
Otherwise? Hahahaha! LOL!
At some point this can work but on the other way round its dangerous for your health, family and life too, you better struggle for yourself,Naona bado unamhitaji sana huyu bwana. Sasa fanya hivi, tafuta kiwanja Bunju, mkonvisi akujengee bangaluu. Likimalizika mwambie its better to obey our ancestors! Babu lazima aheshimiwe, siyo! Kila mtu anachukua hamsini zake