Donpela
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 2,040
- 592
Habari wanajamiii,
nilikuwa nashida kuna ndugu yangu anatakaa kwenda kusomaa United States International University(USIU), sasa amepata matokeo yafutayo form 4, D=7 na C=2(Div 4 point 26) Nilikuwa naomba msaaada wa kubadilisha haya matokeo kuelekea Cambridge ili aweze kuapply Certificate ya USIU.
NOTE: hiko chuo kipo kenya