Help: Job dealer contact needed

Help: Job dealer contact needed

Little Angel

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
1,212
Reaction score
373
Habari zenu banduguz,i hope mmejiandaa vyema kufunga na kuanza mwaka.

naomba kuuliza kama kuna mtu yoyote anamfahamu dada mmoja ambaye anadeal na kutafutia watu kazi kwa malipo. nasikia anaishi kinondoni ila sina details zake zozote,plz nisaidinieni kwa hili as i badly need to see her.

yoyote mwenye info itakayonisaidia naomba aniPM plz.

thank you sana.

Wish you ol Happy New Year.
 
Back
Top Bottom