Naomba msaada kwa yoyote anayejua na ambaye ameshawahi ku-upgrade LG GW 305/300 au aina yoyote ya LG mobile inakuwa ni vipi caz nmejaribu ila mara nyingi inakataa. Kama unajua please nisaidie.
I meant hii 4n na2mia kwenye PC Suit ina option ya Upgrade 4n n softwares sasa nataka kujua nitafanyaje caz nmejaribu mara nyingi ila haijakubalu kaka..