*help: Lg gw 305/300 mobile upgrade*

*help: Lg gw 305/300 mobile upgrade*

VeniGan

Senior Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
135
Reaction score
9
Naomba msaada kwa yoyote anayejua na ambaye ameshawahi ku-upgrade LG GW 305/300 au aina yoyote ya LG mobile inakuwa ni vipi caz nmejaribu ila mara nyingi inakataa. Kama unajua please nisaidie.
 
ebu fafanua unataka ku-upgrade vp mkuu ili niweze/tuweze kukusaidia
 
I meant hii 4n na2mia kwenye PC Suit ina option ya Upgrade 4n n softwares sasa nataka kujua nitafanyaje caz nmejaribu mara nyingi ila haijakubalu kaka..

kama huna uzoefu wa unachotaka kukifanya achana nacho mana unaweza kuuwa cm yako mkuu
 
Back
Top Bottom