Help needed- Windows problem!

Help needed- Windows problem!

Papizo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
4,951
Reaction score
1,446
Habari za kazi wakubwa....Nina problem kidogo katika laptop yangu......kila nikiiwasha inanionyesha window ya black alafu kwa juu wamendika Window Boot Manager

Alafu inasema kwamba

file :\Boot\BCD

Status :0xc0000001

Info :An error occured while attempting to read the boot configuration data

Sasa nimejaribu kuinstall dvd ya hiyo laptop I mean window vista lakini inafika sehemu inanigomea na kunipa hii error

Nyingine inasema The file or directory C:\Boot\BCD is corrupt and unreadable.Please run the Chdsk utility

BCD means Boot Configuration Data

So sijui nitafanyeje ili hii laptop niweze kuisolve hii ishu na iweze kurudi katika halo ya kawaida,Naombeni msaada please na nitashukuru sana!!
 
Last edited:
Hili ni tatizo la BOOTLOADER ya Windows. Umejaribu ku repair kwa kutumia Wndows Vista CD/DVD? Inaonekana kwamba umeweka Vista DVD ila PC yako bado ina boot toka kwenye HD yako.
Badilisha BIOS isome/boot toka kwenye CD/DVD kabla HDD. Halafu zima na washa PC tena ili isome kenye CD/DVD. Fuata maelekezo ya ku repair kama bado inakataa tueleze ili tukupe fumbuzi lingine!!
 
Thanks mkubwa nadhani nimefata hapo kama ulivyoniambia na nikadundua problem kama ulivyosema ila sasa nimeshasolve nashukuru sana kwa msaada wako na asante sana!!
 
Back
Top Bottom