Shrodingler
Member
- Jan 11, 2012
- 14
- 1
acha kujiendekeza kama hunafeelings naye na huwezi kumfanyia mema mpe hamsini zake akapate malavedave ya ukweli kwa wenye kujua kupenda.
kwanza pole kwa hali hiyo,,,,pili jitahidi sana kuwa karibu na mpenzi wako then uwe unapat mda wa utani,stori,,kutoka wikiend ,,,kinyume na hapo upendo wako utadhihilika ukimfumania!!!!utakua kama mbogo alieshikwa mkia.Jaman mm sjui kupenda alaf ninae m2, nais kwa kweli ananipenda, nipo nae 2 yrs now. Huwa ata sina ata hali ya wivu kwake na zaidi nimekua nikitaman wengne zaidi ata ya yy. Na hii yote ndio chanzo cha migogoro ye2. Yan ata kujifoji kua nampenda nshindwa. Help
bora mi Doreen nlimchana live mchana kweupe, acha amwage machozi mtoto wa watu.
lol!hii ni coincidence au ,do u mean my doreen au imetokea tu?bora mi Doreen nlimchana live mchana kweupe, acha amwage machozi mtoto wa watu.