Help pliiiz...

Help pliiiz...

Shrodingler

Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
14
Reaction score
1
Jaman mm sjui kupenda alaf ninae m2, nais kwa kweli ananipenda, nipo nae 2 yrs now. Huwa ata sina ata hali ya wivu kwake na zaidi nimekua nikitaman wengne zaidi ata ya yy. Na hii yote ndio chanzo cha migogoro ye2. Yan ata kujifoji kua nampenda nshindwa. Help
 
Sasa kama unatamani wengine na yeye humpendi unaendelea kuwa nae wa nini? Mwache akatafute atakaemtamani na kumpenda yeye.
 
Mtu akikupenda sio lazima umpende. Hata kama kakupenda sana.
 
acha kujiendekeza kama hunafeelings naye na huwezi kumfanyia mema mpe hamsini zake akapate malavedave ya ukweli kwa wenye kujua kupenda.
 
acha kujiendekeza kama hunafeelings naye na huwezi kumfanyia mema mpe hamsini zake akapate malavedave ya ukweli kwa wenye kujua kupenda.

bora mi Doreen nlimchana live mchana kweupe, acha amwage machozi mtoto wa watu.
 
hapo naona bingwa ana enjoy kupendwa na inakuwa poa sana ukiwa na mpenzi ambaye hakupi presha ila dah usije kuji commit kwa huruma tu brother coz hayo ni maisha yako choices zako za leo zita shape maisha yako ya kesho
 
Jaman mm sjui kupenda alaf ninae m2, nais kwa kweli ananipenda, nipo nae 2 yrs now. Huwa ata sina ata hali ya wivu kwake na zaidi nimekua nikitaman wengne zaidi ata ya yy. Na hii yote ndio chanzo cha migogoro ye2. Yan ata kujifoji kua nampenda nshindwa. Help
kwanza pole kwa hali hiyo,,,,pili jitahidi sana kuwa karibu na mpenzi wako then uwe unapat mda wa utani,stori,,kutoka wikiend ,,,kinyume na hapo upendo wako utadhihilika ukimfumania!!!!utakua kama mbogo alieshikwa mkia.
 
Kwanini unampotezea muda dada watu???
Mwambie ukweli ili uwe huru na hao wanawake wako unaowapenda.
Ukweli utakuweka huru.
 
kwa nini ulijiingiza kny mahusiano naye???kuna vitu utakuwa unapata?,kama unaona hakidhi viwango vyako tafadhali mwache na wewe endelea kutafuta mtu unayemtaka...ila nahisi wewe ni wale ambao hamridhiki na mmoja,kusettle na mtu ni ishu kubwa sana....mie nakushauri baki single utembeee na watu tani yako mpk hapo utakapokuwa tayari kusettle ndio utafute mtu mwenye viwango usettle naye.
 
Acha tabia mbaya,kumwacha hutaki stil unataman wengine!hv jaman c ushajua humpend mwambie awe huru akapewe maraha na wanaojua kupenda,nawe utakua huru kuendelea na kutaman hao wengine kwa wingi upendavyo!
 
Mwache dada wa watu akapate mtu mwingine wa maana,usimwache mpaka akupende zaidi,utamuumiza..Mpe freedom.we endelea na safari ya mabinti wengine unao waonea wivu.

WARNING:USIJISAHAU SANAAA UKATESA NA MABINTI, UKAJA OA UMEZEEKA,WATOTO WATAKOSA MATUNZO YAKO.KUSTAAFU NOWDAYS KUMEPUNGUZWA MUDA CKU HIZI.

Mwache huyo dada aende zake.
 
kwenye kuacha apo ndipo naposhindwa ss, bt naonesha dalili bt hanielewi
 
No, sio ivo. Awali mambo yalikua tofaut na ss ivi na tatizo namna ya kumuacha ndio inakua kazi bt huwa namuoneshea bt sjui anielewi o vp> siko ivo my dada
 
Kumuacha sjui vip nashindwa huwa inakua ngumu bt wat i used to do kumuoneshea bt huwa anielewi sjui. Ina maana msg haijaeleweka o haisomeki. Ok sitafupisha wkt mwingne
 
Back
Top Bottom