Help plz ASAP!

Help plz ASAP!

Cestus

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
987
Reaction score
132
HEELP!! Ntapataje 2gb kwa wiki kwnye modem ya zantel? Sina line ya zantel but i just bought a modem...any help will be greatly appreciated!
 
HEELP!! Ntapataje 2gb kwa wiki kwnye modem ya zantel? Sina line ya zantel but i just bought a modem...any help will be greatly appreciated!

Labda kama umenunua vichochoroni, umeuziwa na kibaka asiyejua matumizi yake. Vinginevyo ungemuuliza huyo huyo aliyekuuzia. Kwa msaada zaidi wasiliana na Zantel customer care au watembee kwenye ofisi zao.
 
Mkuu lazima ujiunge na Highlife via Zantel GSM line.ndipo utaweza pata 2GB per week.
Hivyo ni muhimu kuwa na line ya zantel uwezi jiunga na high life kama una hiyo line ya GSM
 
  • nunua line ya gsm ya zantel,
  • kama tayari unayo hakikisha ina balance isiyo chini ya tsh 1000 piga *190# then select register
  • ukijibiwa rudi katika pc yako uload credit ya 11,000
  • then chukua simu yako ya zantel dial*779#
  • chagua opt 3
  • then chagua opt 4
  • then chagua opt 1
  • weka namba yako ya modem(ipo nyuma ya cover la modem) kama huna rudi ktk pc open mobile partner chagua call halafu jibeep ktk simu yako
  • wait for confirmation msg
 
Halafu hinx umenistua na hiyo heading.
Nilifikiri unaungua moto.
 
Aiseeee watu wengine eti help ASAP.Hawa watu wanawasanifu tu. ASAP alafu anauliza swali na kuondoka.
 
mi nipo bana..nachotaka ni watu na uelewa wao wanipe majibu..thank u very much for ur straightfowad answr inkoskaz...
 
HEELP!! Ntapataje 2gb kwa wiki kwnye modem ya zantel? Sina line ya zantel but i just bought a modem...any help will be greatly appreciated!

28_38_4---London-Ambulance-Service-Ambulance_web.jpg
 
yan watanzania ndo maana ha2endelei 2nachkulia kila ki2 kama jokes...
 
alafu be carefull usichague package nyingine sababu ukikosea ukachagua package nyingine ya wiki ambayo sio highlife huwezi kujaza hiyo highlife mpaka wiki ipite.... that is hata ukichukua hiyo 2gb kwa wiki ikiisha huwezi kuongeza highlife mpaka wiki ipite
 
yan watanzania ndo maana ha2endelei 2nachkulia kila ki2 kama jokes...

watanzania hatuendelei sababu hatujui PRIORITY tuanze na nini na nini kifuate kwa umuhimu. Sasa wewe ASAP yako ya modem ya zantel ni Joke tosha.
 
whatever as long as wa2 na akili zao washanipa majibu..who cares? Teh teh prblm solved!
 
Back
Top Bottom