Wakuu salama? Naomba msaada kwa wale wataalam wakuchakachua DSTV,mshua amegoma kabisa kulipia siku hizi ndomana nataka nifanye makaratee. Naomba uni PM ili hawa jamaa wasitusanukie. Shukran wakuu
Wakuu salama? Naomba msaada kwa wale wataalam wakuchakachua DSTV,mshua amegoma kabisa kulipia siku hizi ndomana nataka nifanye makaratee. Naomba uni PM ili hawa jamaa wasitusanukie. Shukran wakuu
Then ukimaliza tafuta nondo za Televison channel encryption na scrambling na jinsi ya kufanya unscrumbling. Na types of satelited cards. Hiki hasa ndo unataka .
Mwisho wa siku unaweza usifanikiwe au ukafanikiwa kupata channel za free tu ambazo hupati sasa.but cha muhimu utakuwa umeelimika.