HELP: Unawezaje kumsaidia mwenye SEA SICKNESS...?

Minkya

Member
Joined
Nov 12, 2012
Posts
29
Reaction score
5
Habari wadau,

Naombeni msaada wenu katika hili, ninafanya kazi kwenye mazingira ya baharini sana na tupo kwenye chombo

ambacho ni kama meli lakini iki kimekua designed kwa ajili ya uchimbaji tu wa baharini ni 'semi-sub drilling rig'

sasa kwa kweli haipo stable kabisa sanasana ikiwa kwenye mazingira ya mawimbi makubwa ya baharini na

upepo huwa inaumizwa sana kufikia mahali ata ukikaa ofisini hauwezi kutulia sehemu moja kiti kitakua

kinayumbishwa kupita maelezo.

Nina mfanyakazi mwenzangu ameanza kazi karibuni tu na si mtu wa baharini sana, hii hali imemsababishia sea

sickness yaani ni anajisikia kizungu zungu kupita kawaida na tumbo linavurugika sana lakini haja-'drive' ata kdg

mpka sasa ila anasema tumbo liko ovyo sana, pia ana kichefuchef sana na anajisikia kiujumla uncomfortable,

sasa kazi zinatakiwa ziendelee kufanyika kpnd iki kwa hyo inabdi sisi tulio karibu ndo tuhangaike.... medical

officer aliyepo uku amempa dawa za kutuliza maumivu tu (paracetamo) na kupunguza kichefuchefu ila bado

anajisikia vibaya sana.

ni matumaini yangu umu kuna wataalamu zaidi, tafadhali....Asanteni sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…