AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,102
siamini kuwa katika hili jambo utafuata chochote utakachoambiwa hapa, labda uliandika katika kuupoza moyo konde!
Pole sana, ni vigumu kujua kama anakupima au la! maana hakuna "Standard test" kila mtu ana yake, ila sasa huyu mmeachana siku nyingi sana lazima katikati hapo wewe au yeye kuna mmoja aliwai kujikwaa sehemu na kuanguka. Ingawa kuna kujifunza kutokana na makosa lakini kuwa makini tafuta ukweli hasa kwa watu wako wa karibu huko halipo Mzazi mwenza, pima na tafakari ukweli utakaupata au waweza kuuongeza katika hii thread yako ili watu wapate mapana ya jambo hili katika kukushauri.
Maana hapa unatafuta ushauri wakati hujapata ukweli wowote ambao ndio ungekuwa msingi wa ushauri husika.
Mimi sina ushauri!
Arafat naamini huo ulikua ushauri tosha. Akiufanyia kazi utamfaa.