Helpless:...My Dad's Gone!

Goeff nimeingia sasa hv nakutana na hii habari, tafadhali nieleze kwenda kitunda ni leo au kesho and what time??

Kitunda ni leo, maiti itasafirishwa kesho kwenda Irambo Mbeya kwa maziko.
 


Sorry Bro I feel the Pain!
 

huu ujumbe na uwe mwanga machoni kwako kukabili wingu hili kubwa la huzuni.

pole sana mkuu.

R.I.P mzee wetu. amen
 
jamani poleni sana mimi niko kikazi znz toka leo asb,plz nikirudi ntakuja kuwapa pole,Mungu awatie nguvu woteeeeeeeeeeee
Kitunda ni leo, maiti itasafirishwa kesho kwenda Irambo Mbeya kwa maziko.
 

Pole sana,Mwenyezi Mungu awe nawe kwenye wakati huu mgumu.
 
Sad man, very sad. I know how if feels to loose a dad....Pole sana!
 
Pole sana pj! I feel for you...mungu akutie nguvu na ailaze roho ya baba mahali pema. Amen¬
 
Ndugu yangu na rafiki yangu PJ pole sana kwa msiba huu uliokupata..Mungu akupe wewe na familia yako moyo wa uvumilivu ili muweze kukikabili kipindi hiki kigumu cha kumpoteza baba yetu mpendwa..Pole sana kaka.Tuko pamoja katika kipindi hiki kigumu...R.I.P baba yetu..Raha ya milele umpe ee bwana,na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani,Amina
 
ninawapa watu namba zako wakupe pole mkuu!...
watakupigia

Geoff, nashukuru sana kwa kunistua through sms, maake nilikuwa busy na safari sikuingia hapa mahali tangia asubuhi........! ubarikiwe sana kwa moyo huo!

PJ,

Najaribu kukumbuka moyo wako ulionyesha wakati ule wa msiba wa babu yake na member mwenzetu SIPO, kwa akili yangu ya kibinadamu sidhani kama u deserved this man! Naona kabisa JF tunawajibika kwa moyo mmoja kama ulionyesha kwa SIPO kukusupport kwa mwili na roho, kwa sala na maombi katika kipindi hiki kigumu sana kwako......! Nimejaribu kukupigia wewe binafsi sijakupata, lakini takupigia tu nikupe pole kwa sauti......! nimeguswa sana na msiba huo!

I know as family, you have lost a lovely father and please note that, there in no way to escape such a DIVINE gift from God. We loved him, but God has loved him the most. Yeye katangulia, sisi nasi tutakinywa kikombe hicho. Jina la bwana lihimidiwe......!

Rest in Peace mzee wetu......!
 
Mkuu PJ, pole sana kwa msiba mkubwa uliokufika. Namuomba Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu wewe na wengine wote wanaohusika na msiba huu mkubwa. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN.
 
Mze wa pond,

you have driven me into tears!!!

I am seeing a wonderful spirit ya solidarity na deep brotherhood kila siku iendayo kwa mungu

Geoff--- usibadilike, nimepata details na tuko pamoja..
 
Pole kaka PJ kwa msiba uliokufika, Mola akutie nguvu. Bila shaka walio karibu na home huko mbeya watakupa kampany, wajulishe ni wapi maziko yatafanyika. Jikaze kaka
 
Mze wa pond,

you have driven me into tears!!!

I am seeing a wonderful spirit ya solidarity na deep brotherhood kila siku iendayo kwa mungu

Geoff--- usibadilike, nimepata details na tuko pamoja..

Yes, Docebit......we are trying as much as possible to put ''theoretical'' kind of life behind ''bars'' .......for many of us, we have nothing to hide but much to share, especially during the difficult times.....such as this one facing our fellow PJ!!...so much welcome to the unconditional alliance!
 

I was in since trip ya Mikumi, Kaizer showed me the way... Tumsaidie PJ amalize shahahda ya ukubwa akiwa salama
 
Pole sana PJ, Mungu akuongoze na akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu. RIP baba PJ.


Annina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…