Helpless:...My Dad's Gone!

Helpless:...My Dad's Gone!

Mze wa pond,

you have driven me into tears!!!

I am seeing a wonderful spirit ya solidarity na deep brotherhood kila siku iendayo kwa mungu

Geoff--- usibadilike, nimepata details na tuko pamoja..
TUPO PAMOJA DE NOVO!
naifahamu hard time aliyokuwanayo pj kwa sasa!...I HAVE GONE THROUGH THE SAME SCENARIO some seven years back...!

IT HURTS!
alipoiona jf,pj ALIDONDOSHA MACHOZI...!and he m,ade me cry!
R.I.P MZEE WETU!
 
pamoja hommie!....
naamini alikupigia pj..!kimsingi anatamani sana kukufahamu.ANASHUKURU SANA!

TUPO PAMOJA


Yes mkubwa, alinipigia wakati huo walikuwa mikumi, nikampa moyo sana katika wakati huu mgumu wa msiba wa baba yake.......for real niliguswa sana na huu msiba wa PJ kwa kweli hasa nikikumbuka alichokifanya kule AR kny msiba wa SIPO.....!

Mungu ampe nguvu........!
 
R.I.P mzee wetu, mungu akujalie nguvu PJ katika wakati huu mgumu....
 
Yes mkubwa, alinipigia wakati huo walikuwa mikumi, nikampa moyo sana katika wakati huu mgumu wa msiba wa baba yake.......for real niliguswa sana na huu msiba wa PJ kwa kweli hasa nikikumbuka alichokifanya kule AR kny msiba wa SIPO.....!

Mungu ampe nguvu........!
pamojaaz!
ee bwana eeh na kakontribyusheni kaliingia!NDIHONGIDZE SANA!..😀
 
MKUU ASKOFU!....
nimekupata na ninashukuru kwa mchango wako...!nitaufikisha kwa muhusika mapema sana
 
Pole sana PJ kwa msiba huu mkubwa katika maisha yako. Kazi ya MUNGU haina makosa tumuombe tu ili wewe na familia yako muweze kusafiri salama kwa safari ya Mbeya na kuweza kuzika salama na kumaliza matanga salama. Nina uhakika kuwa wawakilishi wa JF walioko huko Mbeya watajitokeza katika kukufariji wewe na familia yako.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe. Na heri wafu wafao katika Bwana

RIP Baba wa PJ
 
Duh! Mkuu pole sana.
They say, a man cant say anything to a Man whose Parent has passed away. No words of winsdom mzee.

I just know we are by your side.

RIP mzee wa PJ.
 
Pole PJ Mwenyezi Mungu akupe subira katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana PJ. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Tunawaombea Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kufiwa na baba mzazi. It is really the hardest time in life!
 
Wakuu,

IAM SHOCKED!

HARDEST TIME ON EARTH FOR ME!

Nimepata habari sasa hv nikiwa ofisini, babaangu mzazi amefariki huko Dar hosptal ya Amana.

Niko KWENYE MIPANGO YA SAFARI KUJA DAR, mIpango ya mazishi inafayika KITUNDA, then safari kwenda kwetu Mbeya!

This is jst for info!

Verily to Allah we belong and to him we shall return

"Surely Allah takes what is His, and what He gives is His, and to all things He has appointed a time...so have patience and be rewarded."
[Bukhari]
Prayer & Patience are the most benefitting Remedy.

Tunaungana nawe kwenye huu msiba mkubwa wa mzee wetu.
 
Pole sana PJ. Mungu akupe nguvu na ujasiri wa kukabiliana na hali hii ngumu
 
naogopa kutoa THANKS. pole sana PJ kwa yote. hata mi nilimpoteza mzee wangu mwezi wa kumi tarehe 24 mwaka jana nikiwa kwenye UE UDSM! ila nashukuru nilifanikiwa kuhudhuria mazishi Moshi na kurudi kwenye pepa. I know how it feels. pole sana
 
pole sana mkuu mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu
 
Back
Top Bottom