HELSB kwa wenye experience tu

HELSB kwa wenye experience tu

II gook

Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
89
Reaction score
17
Habari za asubuhi kwa wanajukwaa

Ninae mdogo wangu alirudia kufanya maombi ya chuo kwa huu mwaka ikiwa pamoja na bodi ya mkopo... lakini kadri muda unavoenda kile chuo chake kimemuita kuendelea na mwaka wa pili maana alipata tatizo flani hiv.... je anaweza endelea pewa mkopo ikiwa alishaa aply upya . na alirudisha ile 25% ili akubaluwe mkopo tena

Ahsanteni
 
Anaweza kupata,muhimu chuo kipeleke matokeo yake ya mwaka wa kwanza na kwa vile alikua anapata basi hamna shida,but afatilie asisubirie tu
 
Back
Top Bottom