PreGE2025 Hemed Hassan Salim: "Mnaosema Bora Magufuli kuliko Samia , tunawapa onyo"

PreGE2025 Hemed Hassan Salim: "Mnaosema Bora Magufuli kuliko Samia , tunawapa onyo"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
14,521
Reaction score
46,663
“Lakini nimesikitishwa mno na baadhi ya wabunge ambao wanaitana nyumbani kwao na watu na kusema kwa siri kuwa ni bora Rais Magufuli aliyekufa kuliko Rais Samia aliye hai hizi nazo ni kauli mbaya na tunatoa onyo” ~ Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni.

20250527_191756.jpg
 
Back
Top Bottom