kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
yaani sie home si waangaliaji habari, ila akiwepo tu anaanza kutangaza lazma tujongee kumsikiliza.
Anambwembwe za kuvutia, mara dahri na dahri.
Keep it up ahmed kivuyo
Yes, huyu mgosi ni creative na bahati nzuri si zile za 'copy n paste'...truly Tanzanian!
Nimeipenda hii..mie ni binti Matola na bado niko home ingawa shikamoo siyo kodi yangu ya nyumba. shida?
jamaa ni masai na si mpare, labda mpare kwa upande wa mamani mpare mkuu
ni mpare mkuu
you are welcome. nadhani Matola anajua jf ni ya wazee tu, kasahau na vijana wapo pia:smile-big:
Namkubali sana jamaa,anajua..
Ila akiwa anatangaza habari kuhusu timu yako kufungwa unaweza kutoa machozi aisee..
Teh teh teh..