Hemed Kivuyo wa ITV ananivutia kuangalia michezo

Hemed Kivuyo wa ITV ananivutia kuangalia michezo

Jamaa kwa kweli mkari na aliniacha hoi alipose "Stars ambayo imewahi kutibiwa na Dr. bingwa Maxio Maximo, Jan Pelson na hatimaye Kim Palsen inaonekana haitaweza kupona tena, baada ya kubugizwa bao tatu kwa sufuri" kuna uncle wangu mmoja akifika tu akikuta habari lazima aulize Kivuyo amesha ripoti.

Hahahahaha.....Mkuu nimecheka sana hadi kumbukumbu za matamko yake umeifadhi kwenye ubongo safi
 
Mi mwenyewe ananikosha sana aiseee...Big up kwa Kivuyo.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Kuna watu wakisikia mtu unakaa nyumbani wanaumwaaa, Manake wakijifikiria wana mwaka wa kumi hawajakanyaga kwao, waliondoka kama wakimbizi.
Raha sana unaamka asubuhi unapishana na ndugu zako...
home sweet home bwana....hata ukizeeka

Nawadedicatia wimbo wa ningekuwa kwetu by Nyota Waziri na Bizman.
hahhhaaaaaaaaaaaaaaa, nawe umeona hapo my dia? watuache na sie muda ukifika tutatoka home.
wacha nijiburudishe na hiyo nyimbo mamie. :israel:
 
Binafsi, si mpenzi wa michezo, especially football, but namkubali sana kivuyo. He is good kwa kweli.
 
Back
Top Bottom