Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Jamaa wa star tv naona anajarb kupita njia ya kivuyo.
Jamaa kwa kweli mkari na aliniacha hoi alipose "Stars ambayo imewahi kutibiwa na Dr. bingwa Maxio Maximo, Jan Pelson na hatimaye Kim Palsen inaonekana haitaweza kupona tena, baada ya kubugizwa bao tatu kwa sufuri" kuna uncle wangu mmoja akifika tu akikuta habari lazima aulize Kivuyo amesha ripoti.
hahhhaaaaaaaaaaaaaaa, nawe umeona hapo my dia? watuache na sie muda ukifika tutatoka home.Kuna watu wakisikia mtu unakaa nyumbani wanaumwaaa, Manake wakijifikiria wana mwaka wa kumi hawajakanyaga kwao, waliondoka kama wakimbizi.
Raha sana unaamka asubuhi unapishana na ndugu zako...
home sweet home bwana....hata ukizeeka
Nawadedicatia wimbo wa ningekuwa kwetu by Nyota Waziri na Bizman.
Eee tena jina nimemsahau wenye jina watuletee hapa huyo wa star tv