kau Member Joined Dec 21, 2011 Posts 80 Reaction score 16 Dec 17, 2013 #1 Jaman wanaharakati ningependa kuwakilisha hoja yangu kuhusu huyu mtangazaji wa ITV.... Kiukweli ni kati ya watangazaji wabunifu sana mpaka anavutia anaporipoti... namtakia mafanikio mema katika safari yake ya utangazaji.....
Jaman wanaharakati ningependa kuwakilisha hoja yangu kuhusu huyu mtangazaji wa ITV.... Kiukweli ni kati ya watangazaji wabunifu sana mpaka anavutia anaporipoti... namtakia mafanikio mema katika safari yake ya utangazaji.....
Baraka Roman JF-Expert Member Joined Feb 16, 2013 Posts 692 Reaction score 262 Dec 17, 2013 #2 Hakika hasa kwenye habari za michezo,nilipenda alivyoriport that day tumefungwa na zambia Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hakika hasa kwenye habari za michezo,nilipenda alivyoriport that day tumefungwa na zambia Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
white girl JF-Expert Member Joined Dec 5, 2013 Posts 1,361 Reaction score 401 Dec 17, 2013 #3 Pichaaa
matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,951 Dec 17, 2013 #4 ana undugu na Rehema Kivuyo? mamaaa rehema wamuacheee
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Dec 17, 2013 #5 Mchizi anajua!
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,006 Reaction score 13,281 Dec 17, 2013 #6 Anasoma sana vitabu vya kiswahili,hakuna kama yeye tanzania. Huwa napenda habari zote atangaze yeye tu.
Anasoma sana vitabu vya kiswahili,hakuna kama yeye tanzania. Huwa napenda habari zote atangaze yeye tu.
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,006 Reaction score 13,281 Dec 17, 2013 #7 matumbo said: ana undugu na rehema kivuyo? Mamaaa rehema wamuacheee Click to expand... huyo rehema ndo nani hapa tz?au anajulikana huko kwenu kinondoni tu.
matumbo said: ana undugu na rehema kivuyo? Mamaaa rehema wamuacheee Click to expand... huyo rehema ndo nani hapa tz?au anajulikana huko kwenu kinondoni tu.
B'REAL JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 4,443 Reaction score 3,002 Dec 17, 2013 #8 Wanyamaa warefu wa jangwan,wenye wendo wa madaha...amdani....malizia jamaa na mkubali 79
matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,951 Dec 17, 2013 #9 Deo Corleone said: huyo rehema ndo nani hapa tz?au anajulikana huko kwenu kinondoni tu. Click to expand... bob,uyo mtoto rehema wa kivuyo mumuache,yani ni mkali dunia nzima...ata ukitimba nae unyamani washikaji discipline.
Deo Corleone said: huyo rehema ndo nani hapa tz?au anajulikana huko kwenu kinondoni tu. Click to expand... bob,uyo mtoto rehema wa kivuyo mumuache,yani ni mkali dunia nzima...ata ukitimba nae unyamani washikaji discipline.
Mawingi JF-Expert Member Joined Oct 23, 2013 Posts 213 Reaction score 44 Dec 17, 2013 #10 huku msimbazi yamkini si shwari wanachama wameandamana mbaka makao makuu wengine wakimwaka matozi
Mawingi JF-Expert Member Joined Oct 23, 2013 Posts 213 Reaction score 44 Dec 17, 2013 #11 wissaf said: huku msimbazi yamkini si shwari wanachama wameandamana mbaka makao makuu wengine wakimwaka matozi Click to expand... kinachotafsiliwa ndani ya simba ni pembe la kale lisilokua na thamani utatoa nini hata uwe bora
wissaf said: huku msimbazi yamkini si shwari wanachama wameandamana mbaka makao makuu wengine wakimwaka matozi Click to expand... kinachotafsiliwa ndani ya simba ni pembe la kale lisilokua na thamani utatoa nini hata uwe bora