Hemed kuwakilisha Tanzania Big brother

out of 40 million people,kwani nini tupeleke hilo bwabwa???kwani watu wamekosekana?

Kwani yeye sio mtu!! Hao waliopelekwa miaka ya nyuma wanatofauti gani na Hemed!?
 
Kwani yeye sio mtu!! Hao waliopelekwa miaka ya nyuma wanatofauti gani na Hemed!?
Umemaliza wangu!!!huyo jestina kama ni demu kweli atakuwa ana maradhi ya kunuka kwapa kwahiyo ana allergy na watanashati na waliobarikiwa muonekano na kipaji!!!
 
Hebu fafanua anamharibu vipi ?
 
Huo ni ushenzi.......!!!!!!!!!!
 
Tutaenda ku experiance the difference kwa kupeleka "anti phd"..
 
sasa Hemedi akienda Big Brother Africa atamchumkua nani kama Partner wake maana Mwaka huu lazima utafute partner wa kwenda nae mjengoni. Tusubiri tuone huenda akamchukua Pedejee Shabiby mzee wa kuchimba k.in.ye.s...after all no problem sheria za South Africa zinaruhusu ndoa za jinsia moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…