Hemed Morocco hatoshi kuwa Coach wa Taifa stars AFCON

Hujawahi kuwa na akili hata siku moja muda wote unaandika utumbo tu. Yaani hilo boga ulilolibeba linaipa tabu tu shingo yako. Kimanga sosa wewe. Cameruni wa kizazi kipya.
 
Nina akili nyingi kijana
 
Najua Watanzania ni watu wa matukio
Hapa tumefuzu Kwa mbinde na coach Morocco anaonekana shujaa, ila ana mbinu duni akikutana na timu ngumu atapigwa kama ngoma

Tumefuzu lakini Kwa kubahatisha tu
Huko AFCON tunaenda kutia aibu
Tutafungwa magoli si chini ya 5 kila mechi

Timu yetu inacheza kama haina coach

Timu inacheza Kwa hamasa tu
Timu haina muunganiko
Coach Morocco hawezi ku manage wachezaji, ashawahi kugombana na wachezaji wengi akiwemo Dickson Job, Msuva, Samata, Haji Mnoga, Mmobwa n k
TTF tafuta coach mwingine
Muda upo wa kutosha
Msiwe na mihemko wa ushindi wa kufuzu Kwa mbinde

Wasaalam
Ngoja niweke akiba ya maneno muda utaongea....
 
Timu yetu inahitaji kocha mzawa sababu karibu 90% ya wachezaji ni wa ligi kuu. Nashauri wamchukue Gamondi kabla hajapata timu nyingine, atleast anawajua wachezaji wa bongo.
Yeah......pia atapata muda wa kula bata, siyo kwa soka la vilabu.
 
Tujifunze ku appreciate Kwa mazuri yanayotekea kwenye nchi yetu!
 
Mimi najuwa team ya Taifa Manager wa team akisimama wengine mnakaa wasaidizi, interview anafanya Manager na mchezaji anayeteuliwa sio kila mtu anaongelea team, akija Kiwelu anaanza kupiga vijembe watu. Hii team ya taifa lazima kuwe na weledi, Kocha mkuu ndiye anasimama mbele ya team sio kila mtu karuka kwenye benchi mtakuja kupigwa makadi huko Afcon.

Ila tunafuzu sababu ubora au kuongezwa team 24 na sisi tunapenya huko mbona enzi za team 12 mpaka 16 tulikuwa tunaangalia kwenye TV tu. Mimi siamini kama ni ubora ila kuongezwa kwa idadi ya team kuna tubeba kwa mbinde bado.
 
Stars hata aje kocha Gani hatuna wachezaji wa kushindana Bali kushiriki mashindano.
 
Najua Watanzania ni watu wa matukio
Hapa tumefuzu Kwa mbinde na coach Morocco anaonekana shujaa, ila ana mbinu duni akikutana na timu ngumu atapigwa kama ngoma

Tumefuzu lakini Kwa kubahatisha tu
Huko AFCON tunaenda kutia aibu
Tutafungwa magoli si chini ya 5 kila mechi

Timu yetu inacheza kama haina coach

Timu inacheza Kwa hamasa tu
Timu haina muunganiko
Coach Morocco hawezi ku manage wachezaji, ashawahi kugombana na wachezaji wengi akiwemo Dickson Job, Msuva, Samata, Haji Mnoga, Mmobwa n k
TTF tafuta coach mwingine
Muda upo wa kutosha
Msiwe na mihemko wa ushindi wa kufuzu Kwa mbinde

Wasaalam
Tumuache aende nayo
 
Ukimchunguza kwa makini ana aina fulani ya ubaguzi, angalia aina ya wasaidizi wake aliowateua
 
Najua Watanzania ni watu wa matukio
Hapa tumefuzu Kwa mbinde na coach Morocco anaonekana shujaa, ila ana mbinu duni akikutana na timu ngumu atapigwa kama ngoma

Tumefuzu lakini Kwa kubahatisha tu
Huko AFCON tunaenda kutia aibu
Tutafungwa magoli si chini ya 5 kila mechi

Timu yetu inacheza kama haina coach

Timu inacheza Kwa hamasa tu
Timu haina muunganiko
Coach Morocco hawezi ku manage wachezaji, ashawahi kugombana na wachezaji wengi akiwemo Dickson Job, Msuva, Samata, Haji Mnoga, Mmobwa n k
TTF tafuta coach mwingine
Muda upo wa kutosha
Msiwe na mihemko wa ushindi wa kufuzu Kwa mbinde

Wasaalam
Huyo kocha mwingine ndio atafanya nini?
 
Back
Top Bottom