Hemed Moroco sijui nini Taifa stars kocha ang'olewe ama atatufikisha AFCON ijayo?

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Kichwa cha habari kinajieleza, team ni ball papwatu papara papatu. Mbele haichezi katikati hainyumbuliki nyuma inqyumba na pembeni haijai.

Yaani bora liende na kubaki kubahatisha tu magori na mashambulizi ya alhamudulilahi,

Wachezaji wanaitwa kwa kuona leo kafanya nini ila hakuna consistence ya kujenga kikosi. Full kubwabwaja.

Mwenye profile ya kocha atupatie hapa na mafanikio yake.

Soma Pia: FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024
 
Kichwa cha habari kinajieleza, team ni ball papwatu papara papatu. Mbele haichezi katikati hainyumbuliki nyuma inqyumba na pembeni haijai.

Yaani bora liende na kubaki kubahatisha tu magori na mashambulizi ya alhamudulilahi,

Wachezaji wanaitwa kwa kuona leo kafanya nini ila hakuna consistence ya kujenga kikosi. Full kubwabwaja.

Mwenye profile ya kocha atupatie hapa na mafanikio yake.
sijawahi kumkubali, sio kwasababu yeye ni raia wa nchi nyingine, ila kiwango chake/uwezo. ni wa kuokota siku tukiwa hatuna kocha. sema bongo utakuta madili wanapeana na yeye ana chenji anarejesha kwa tff huko ndio wanaishi mjini. tusemeje sasa. kwamba tumeshindwa kuajiri kocha wa maana?
 
Yupo huyo kocha wa maana!!?
 
Taifa starz inauliwa na watanzania,Idadi ya wageni wanaocheza ligi ya nyumbani na kuanza kwenye vikosi vyao ni kubwa sana,Kuna game niliona wazawa Yanga ni Dickson Job na Baka tuu the rest 9 ni wageni.

Bora tungekua na wachezaji nchi za kigeni kwenyw nchi zinazojielewa tungesema bora ila wachezaji wetu wanacheza ligi za kipuuzi huko nje.

Lini Taifa litapata wachezaji wanaojielewa wenye mechi fitness.

Leo wachezaji waliocheza vizuri ni Fei toto,Mzize,Baka na Himid mao,wengine takataka tuu.

Kocha nae kibabage anacheza mbavu kweli ?
 
Umeangalia mechi gani ambayo Kibabage alicheza mbavu!?? .... Kama ni hii Tshabalala basi atakuwa alicheza unyayoni.....
 
Muda wa kuweka pembeni Msuva na Samatta haujafika, yaani kina Balua ndo watupeleke Afcon?

Huyu kocha Morocco na Karia wake hawana faida kwa soka letu, hawatufai wana chuki na nongwa na wachezaji muhimu wa Stars, wakiendeleza sera zao tutashika mkia, watu wazima ovyo kabisa.

Mashabiki hatuwataki.
 
sijawahi kumkubali, sio kwasababu yeye ni raia wa nchi nyingine, ila kiwango chake/uwezo. ni wa kuokota siku tukiwa hatuna kocha. sema bongo utakuta madili wanapeana na yeye ana chenji anarejesha kwa tff huko ndio wanaishi mjini. tusemeje sasa. kwamba tumeshindwa kuajiri kocha wa maana?
ni kweli huyu kuna fedha anampa yule msomali
 
Wapumbavu watupu, tena kama shida ni mzawa basi angepewa Julio.

Yanga tulikuwa na mwenyekiti Dr Mshindo Msola ambaye ni kocha lakini tukamleta kocha bora Nabi.

Hawa Tff wanachojali ni matumbo yao hawapo tayari kumlipa mshahara mkubwa kocha wa viwango, ikumbukwe Maximo alikuwa analipwa na Rais Kikwete.

Anachojali Karia yeye anasubili tu fungu lake la rushwa kila mwaka dola 50,000 kutoka kwa Motsepe hicho ndicho kinachomuweka TFF na ukitaka kugombea utaambiwa upate endorsement za wajumbe ambao wako chini yake wanakula wote.
 
msomali ni shida tupu
 
Hemed Morocco siyo mwalimu mzuri.
Unamchezesha Kibabage nafasi winga?
Sijaelewa mfumo wake.
Ashukuru watu wake wa ulinzi kule nyuma walikuwa vizuri, vinginevyo Stars wangefungwa kipindi cha kwanza.
 
huyu alizoea kuwa kocha wa geita gold,namungo,kmkm,jku au fc nakapanya,unampaje taifa stars,hata mgunda yupo tu hana furaha jinsi anavyoiendeshabtaifa stars
 
Na huko kote alifeli. Hatuko serious Ethiopia walivyokuwa wanacheza unajua kabisa Hawa Wana mwalimu na utafikiri wao ndio walikuwa wenyeji.
 
Kuna yeye na bakari shime hao Wana ma godfather pale tff hakuna kitu utawaambia ila mpira kwao ni zero kabisa wako kusema "vijana wamejitahidi"
 
Back
Top Bottom