Huu ni upumbavu!Taifa starz inauliwa na watanzania,Idadi ya wageni wanaocheza ligi ya nyumbani na kuanza kwenye vikosi vyao ni kubwa sana,Kuna game niliona wazawa Yanga ni Dickson Job na Baka tuu the rest 9 ni wageni.
Bora tungekua na wachezaji nchi za kigeni kwenyw nchi zinazojielewa tungesema bora ila wachezaji wetu wanacheza ligi za kipuuzi huko nje.
Lini Taifa litapata wachezaji wanaojielewa wenye mechi fitness.
Leo wachezaji waliocheza vizuri ni Fei toto,Mzize,Baka na Himid mao,wengine takataka tuu.
Kocha nae kibabage anacheza mbavu kweli ?
Katika timu 16 wachezaji wageni ni wangapi?
Hawa wachezaji wenyeji unaowapambania kwa nini hawaoneshi uwezo kwenye hizi timu za kawaida?