U Udakuz Member Joined Feb 4, 2013 Posts 85 Reaction score 51 Apr 4, 2015 #1 Mahojiano ya Hemedy PHD kuhusu yeye Kupaka Poda, Ndoa yake aliyoahiadi kubuma na kwanini anapendwa sana wa Wadada Angalia Video Hapa Chini: Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mahojiano ya Hemedy PHD kuhusu yeye Kupaka Poda, Ndoa yake aliyoahiadi kubuma na kwanini anapendwa sana wa Wadada Angalia Video Hapa Chini:
kende JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 3,527 Reaction score 1,668 Apr 5, 2015 #2 no body cares
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,893 Apr 5, 2015 #3 Udakuz said: Mahojiano ya Hemedy PHD kuhusu yeye Kupaka Poda, Ndoa yake aliyoahiadi kubuma na kwanini anapendwa sana wa Wadada Angalia Video Hapa Chini: Click to expand... Hiyo PHD hapo kwenye jina lake inawekwa kwa makosa sana!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Udakuz said: Mahojiano ya Hemedy PHD kuhusu yeye Kupaka Poda, Ndoa yake aliyoahiadi kubuma na kwanini anapendwa sana wa Wadada Angalia Video Hapa Chini: Click to expand... Hiyo PHD hapo kwenye jina lake inawekwa kwa makosa sana!!
Dr.Chichi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 2,393 Reaction score 632 Apr 6, 2015 #4 huyo ---- kila baada ya nusu SAA anapaka baby Johnson powder.mwaka Jana tulipanda wote ABC ya kuenda Dom,alikuwa anakera sana.yaani kila muda yeye na kajamaa kake wanapaka powder,wanaongea kwa sauti hili basi zima liwasikie.
huyo ---- kila baada ya nusu SAA anapaka baby Johnson powder.mwaka Jana tulipanda wote ABC ya kuenda Dom,alikuwa anakera sana.yaani kila muda yeye na kajamaa kake wanapaka powder,wanaongea kwa sauti hili basi zima liwasikie.